Sic04/SicSetup/Sic_Setup/NSIS/Contrib/Language files/Swahili.nlf

192 lines
5.3 KiB
Plaintext

# Header, don't edit
NLF v6
# Start editing here
# Language ID
1089
# Font and size - dash (-) means default
-
-
# Codepage - dash (-) means ANSI code page
-
# RTL - anything else than RTL means LTR
-
# Translation by MK, Kenya Branch
# ^Branding
Nullsoft Install System %s
# ^SetupCaption
Usanidi wa $(^Name)
# ^UninstallCaption
Usakinushaji wa $(^Name)
# ^LicenseSubCaption
: Leseni ya Makubaliano
# ^ComponentsSubCaption
: Machaguo ya Kusakinisha
# ^DirSubCaption
: Folda ya Kusakinisha
# ^InstallingSubCaption
: Inasakinisha
# ^CompletedSubCaption
: Imekamilika
# ^UnComponentsSubCaption
: Machaguo ya Kusakinusha
# ^UnDirSubCaption
: Folda ya Kusakinusha
# ^ConfirmSubCaption
: Uthibitisho
# ^UninstallingSubCaption
: Inasakinusha
# ^UnCompletedSubCaption
: Imekamilika
# ^BackBtn
< &Nyuma
# ^NextBtn
&Mbele >
# ^AgreeBtn
&Nakubali
# ^AcceptBtn
&Nakubali matakwa ya Leseni ya Makubaliano
# ^DontAcceptBtn
&Sikubali matakwa ya Leseni ya Makubaliano
# ^InstallBtn
&Sakinisha
# ^UninstallBtn
&Sakinusha
# ^CancelBtn
Katiza
# ^CloseBtn
&Funga
# ^BrowseBtn
&Pekua...
# ^ShowDetailsBtn
&Onyesha habari zaidi
# ^ClickNext
Bofya Mbele ili kuendelea.
# ^ClickInstall
Bofya Sakinisha ili kuanza usakinishaji.
# ^ClickUninstall
Bofya Sakinusha ili kuanza usakinushaji.
# ^Name
Jina
# ^Completed
Imekamilika
# ^LicenseText
Tafadhali soma leseni ya makubaliano kabla ya kusakinisha (kuweka kwenye kompyuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya makubaliano, bofya Nakubali.
# ^LicenseTextCB
Tafadhali soma leseni ya makubaliano kabla ya kusakinisha (kuweka kwenye kompyuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya makubaliano, bofya kisanduku cha alama kilicho hapa chini. $_CLICK
# ^LicenseTextRB
Tafadhali soma leseni ya makubaliano kabla ya kusakinisha (kuweka kwenye kompyuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya makubaliano, teua chaguo la kwanza hapa chini. $_CLICK
# ^UnLicenseText
Tafadhali soma leseni ya makubaliano kabla ya kusakinusha (kufuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya makubaliano, bofya Nakubali.
# ^UnLicenseTextCB
Tafadhali soma leseni ya makubaliano kabla ya kusakinusha (kufuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya makubaliano, bofya kisanduku cha alama kilicho hapa chini. $_CLICK
# ^UnLicenseTextRB
Tafadhali soma leseni ya makubaliano kabla ya kusakinusha (kufuta) $(^NameDA). Ikiwa unakubali matakwa yote ya makubaliano, teua chaguo la kwanza hapa chini. $_CLICK
# ^Custom
Kaida
# ^ComponentsText
Tia alama vijenzi unavyotaka kusakinisha na utoe alama kando ya vijenzi usivyotaka kusakinisha. $_CLICK
# ^ComponentsSubText1
Teua aina ya usakinishaji:
# ^ComponentsSubText2_NoInstTypes
Teua vijenzi vitakavyosakinishwa:
# ^ComponentsSubText2
Au, uteue vijenzi vya hiari unavyotaka kusakinisha:
# ^UnComponentsText
Tia alama vijenzi unavyotaka kusakinusha na utoe alama kando ya vijenzi usivyotaka kusakinusha. $_CLICK
# ^UnComponentsSubText1
Teua aina ya usakinushaji:
# ^UnComponentsSubText2_NoInstTypes
Teua vijenzi vitakavyosakinushwa:
# ^UnComponentsSubText2
Au, uteue vijenzi vya hiari unavyotaka kusakinusha:
# ^DirText
Usanidi utasakinisha $(^NameDA) katika folda ifuatayo. Ili kusakinisha katika folda tofauti, bofya Pekua kisha uteue folda nyingine. $_CLICK
# ^DirSubText
Folda Inayokusudiwa
# ^DirBrowseText
Teua folda itakayotumika katika usakinishaji $(^NameDA):
# ^UnDirText
Usanidi utasakinusha $(^NameDA) kutoka katika folda ifuatayo. Ili kusakinusha kutoka katika folda tofauti, bofya Pekua kisha uteue folda nyingine. $_CLICK
# ^UnDirSubText
""
# ^UnDirBrowseText
Teua folda itakayotumika katika usakinushaji $(^NameDA):
# ^SpaceAvailable
"Nafasi iliyopo: "
# ^SpaceRequired
"Nafasi inayohitajika: "
# ^UninstallingText
$(^NameDA) itasakinushwa kutoka katika folda ifuatayo. $_CLICK
# ^UninstallingSubText
Usakinushaji kutoka:
# ^FileError
Kuna hitilafu katika kufungua faili ili kuandika: \r\n\r\n$0\r\n\r\nBofya Katiza ili kusimamisha usakinishaji,\r\nJaribu Tena ili kujaribu upya, au\r\nPuuza ili kuruka faili hii.
# ^FileError_NoIgnore
Hitilafu katika kufungua faili ili kuandika: \r\n\r\n$0\r\n\r\nBofya Jaribu Tena ili kujaribu upya, au\r\nKatiza ili kusimamisha usakinishaji.
# ^CantWrite
"Haiwezekani kuandika: "
# ^CopyFailed
Haikuwezekana Kunakili
# ^CopyTo
"Nakili katika "
# ^Registering
"Inaandikisha: "
# ^Unregistering
"Inatangua Uandikishaji: "
# ^SymbolNotFound
"Alama haikupatikana: "
# ^CouldNotLoad
"Haikupakia: "
# ^CreateFolder
"Unda Folda: "
# ^CreateShortcut
"Unda Mkato: "
# ^CreatedUninstaller
"Kisakinushaji Kimeundwa: "
# ^Delete
"Futa Faili: "
# ^DeleteOnReboot
"Futa kompyuta itakapowashwa upya: "
# ^ErrorCreatingShortcut
"Kuna hitilafu katika kuunda mkato: "
# ^ErrorCreating
"Kuna hitilafu katika kuunda: "
# ^ErrorDecompressing
Kuna hitilafu katika kugandamua data! Kisakinishaji kimevurugika?
# ^ErrorRegistering
Hitilafu katika kuandikisha DLL
# ^ExecShell
"ExecShell: "
# ^Exec
"Tekeleza: "
# ^Extract
"Chopoa: "
# ^ErrorWriting
"Zidua: hitilafu katika kuandika faili "
# ^InvalidOpcode
Kisakinishi kimevurugika: kuna msimbo batili
# ^NoOLE
"Hakuna UPV (OLE) kwa ajili ya: "
# ^OutputFolder
"Folda ya zao: "
# ^RemoveFolder
"Ondoa Folda: "
# ^RenameOnReboot
"Badili jina kompyuta itakapowashwa upya: "
# ^Rename
"Badili jina: "
# ^Skipped
"Imerukwa: "
# ^CopyDetails
Nakili Utondoti Kwenye Ubao Klipu (Clipboard)
# ^LogInstall
Unda batli ya mchakato wa kusakinisha
# ^Byte
B
# ^Kilo
K
# ^Mega
M
# ^Giga
G